Lirik Lagu Utanisho Octopizzo

Naskia Bado Kuna Ma-rapper Wame-stick Kwa Cypher
Zangu Nikutoa Soundtrack Za Sci-fi
Waresh Wenyu Nimewageuza Free Wi-Fi In Short Na-log In Bila Kutumia PasswordMi Ni Ule Boy Anakutukana Bila Kutumia Curse Word
Pesa Otas Nigga, Naenda Nazo Choo Ka Nimekazwa
Still Sick Nipate Booth, Ka Nimelazwa
Ati Ulidanganya Unajulikana Majuu?
Hao Walikuwa Wasee Wa NASWA!
Bila Beat Nigga, Kujeni Na Pinye Bado Nitawa-beat, Nigga
Hii Ni Hit Nigga!
Mr. Lighter, Flames, I′m Lit Nigga
Stop Feeling Some Typa Way, Homie Kwani Hujui Mi Ni Rich Nigga?
Na Mresh Wako Ameshinda Akiniflash, You Wanna Know Why?
'Cause I′m The Shit Nigga!
Utanishow What? Utanisho?
Utanishow What? Utanisho?
Utanishow What? Utanisho?
Utanishow What? Utanisho?

I'm Going In Ni Ka Kuna Curfew, Apart From Me Mi Huskiza Ma-rapper Ka Few
Hii Si SportPesa Huwezi Bet
Na Ambia Siz Yako Hata Akikunya Calendar Siwezi M-date
Na-stand Out, Buda, Ka Watchman; In Short Vitu Niko Nazo Huwezi Get
Hold Up! Najua Hiyo Line Hujai-get
Sijawahi Chelewa Sijawahi Come Late
Nimetoka Vacay Ndio Nime Jet In
Hakuna Vacancy Siwezi Ku-let In
Niko Kwa Pharmacy, Zangu Ma-peddling
So Sad Hata Akina Pendo Sikuhizi Hawakupendi
So Zidi Kukula Moto Ka Acrobat
Unapunguza Weight Kwani Uliacha Kutumia Arrow Bud
Bonga Na Mi, Chonga Na King
Songa Na Mi, Kamisha Bling, Pizzo Kwa Ring

Utanishow What?
Utanisho?
Utanishow What?
Utanishow Nini Bana?
Utanishow What?
Utanishow What?

Utanishow Nini Bana
Utanishow Nini Bana
Utanishow Nini Bana
Na Mtaa Bado Wasee Wanatembea Na Ma-banner Za:
"NO OCTOPIZZO NO PEACE"
Ni Hii Sheng Ndio Ilinibuy-ia Shamba, Ni Hii Sheng
Ni Hii Sheng Ndio Ilinibuy-ia Nyumba Ni Hii Sheng
Ni Hii Sheng Nilipata Wangoso Na Hii Sheng
Ni Hii Sheng Nilipandaga Ndege Na Hii Sheng
Ni Hii Sheng Nilihamaga Ghetto Na Hii Sheng
Ni Hii Sheng Nilibuy-ingi Gari Na Hii Sheng

Utanishow Nini Bana?
Utanishow Nini Bana?
Utanishow Nini Bana?
Na Mtaa Bado Wasee Wanatembea Na Ma-banner Za
"NO OCTOPIZZO, NO PEACE"
Utanishow Nini Bana?
Utanishow Nini Bana?
Utanishow Nini Bana?
Na Mtaa Bado Wasee Wanatembea Na Ma-banner Za
"NO OCTOPIZZO, NO PEACE"
 

 
  Octopizzo   Writed by Admin  6x     2024-12-23 12:04:54

post a comment