Lirik Lagu Unaniweza Jux

Abbah

Pindi Ukicheka We, Mi Moyo UnanitabasamuHuwa Mwenye Kujihisi Mororo
Ila Ukilia Wee, Hata Kula Nakosa Hamu
Huwa Mwenye Kujihisi Mdororo

Ukiwa Karibu Na Mie, Najiona Bora
Lakini Ukiwa Mbali, Baby, Baridi Linachoma
Uwepo Wako We Na Mie, Umetia Fora
We Ndio Dakitari, Darling, Nikitaka Kupona

Unaniweza Weza

Unaniweza Weza

Unaniweza Weza

Unaniweza Weza

Sitamani Mwingine, Wala Sidhani Ka Ataweza Kutokea
Maana Mambo Yako Moto Moto, Moto
Labda Upite Ushetani Mwingine
Maneno Ya Watu Nishazoea I Don′t Care
Kila Kukicha Choko Choko, Choko

Unavyonipa Raha, Ndiyo Nanenepa Mie
Penzi Lako Natinga, Naringa Nabembea
Kinachokufaaa, Usisite Niambie
Kwako Niko Radhi Hata Zege Nibebe, Machinga Nidadishee

Ukiwa Karibu Na Mie, Najiona Bora
Lakini Ukiwa Mbali, Baby, Baridi Linachoma
Uwepo Wako We Na Mie, Umetia Fora
We Ndio Dakitari, Darling, Nikitaka Kupona

Unaniweza Weza

Unaniweza Weza

Unaniweza Weza

Unaniweza Weza

Unaniweza Weza

Unaniweza Weza, I Do It For Love
For Love
Unaniweza Weza, I Do It For Love
For Love, I Do It For Love

Unaniweeeza

Abbah
 

 
  Jux   Writed by Admin  7x     2024-12-23 11:44:14

post a comment