Lirik Lagu Still The One Sauti Sol

Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
Another One For The Ladies, Sauti Sol
Yeah, Yeah Baby, Touch Me Baby
Tulipokuwa Primo
Ulisema Umeninoki
Nikakuseti Kwa Odijo
Tukaingia Seco

Adole Zikanipanda
Nikaku Kiss Kwenye Bus Stop, Yeah
Tukaingia Campo
Nikasema Nakupenda
Ukasema Unasoma

Na Bado Na Kuona Daily
Looking Fly Nakufeel Even More Ooh
I Wonder What I′m Gonna Do
If You Ever Walk Out The Door...

Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile
Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile

Ukiwa Mbali Nakonda Sana
Nikikuona Nina Pagawa
Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile

Love Is A Strong Thing, Strong Thing, Strong Thing
My Love Is A Strong Thing, Strong Thing, Strong Thing

Tukamaliza Campo
Nikaanza Kuimba
Ukapata Ka Jobo (downtown)
Tukapatana Tao

You Were Looking Very Sexy
Tukawasha Ka Vodo
Ukawa Tipsy Kidogo

Ukasema Unanipenda
Na Huwezi Kuniacha
Tangu Zamani Ulinipenda
Ila Hukuweza Sema

Ukasema Unanipenda
Na Huwezi Kuniacha
Tangu Zamani Ulinipenda
Ila Hukuweza Sema

Na Bado Nakauona Daily
Looking Fly Nakufeel Even More
I Wonder What I'm Gonna Do
If You Ever Walk Out The Door

Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile
Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile

Ukiwa Mbali Nakonda Sana
Nikikuona Nina Pagawa
Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile

Love Is A Strong Thing, Strong Thing, Strong Thing
My Love Is A Strong Thing, Strong Thing, Strong Thing

Nikaimba Lazizi (lazizi Wangu We)
Nikaimbia Polisi
Na Nikaimba Soma Soma Soma, (oh Yeah)
Na Nikasema Popote Ulipo, Mi Nakuwaza Mama
I′m A I'm A I'm A Gentleman
I′m A I′m A I'm A Gentleman

Na Bado Nakuona Daily
Looking Fly Na Ku Feel Even More
I Wonder What I′m Gonna Do
If You Ever Walk Out The Door

Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile
Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile

Ukiwa Mbali Nakonda Sana
Nikikuona Nina Pagawa
Bado We Ni Yule Yule
Bado Nakufeel Baby Vile Vile

Na Sasa Uko Fifty, Bado Unaka Fiti
Yeah You Can Gerrit
Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
 

 
  Sauti Sol   Writed by Admin  61x     2023-09-04 09:13:07

post a comment