Lirik Lagu Wivu Platform Tz

Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
Mwenye Kisura Cha Upole
Rangi Yake Ya Chocolee
Uzuri Kampa Mama Ooh Mama
Cheko Lake Kama Vaileth
Kisura Chake Yani Babay Face
Ananichanganya Anichanganyaa
Mwenzenu Nimezunguka Sijamuona Kama Yeye
Na Ata Ukizunguka Uwezi Mpataa Kama Yeye
Jamani Nimezunguka Sijamuona Kama Yeye
Na Ata Ukizunguka Uwezi Mpata Kama Yeye
Mi Nina Wivu Ooh Wivu
My Baby Nina Wivu Ooh Wivu
Kusema Kweli Mi Nina Wivu Ooh Wivu
Ooh Baby Mi Nina Wivu Ooh Wivu
Kusema Kweli Mi Nina Wivu Ooh Wivu
Ushaniweza Jamani Kama Ni Dozi Unanipatia
Unafanya Wakeshe Ooh Wakeshe Macho Wazi
Oh Mambo Yako Wazi Wazi Wazi
Tuweke Wazi Kwawazazi
Milele Tuishi Wote Mimi Nawe My Darling
Mwenzenu Nimezunguka Sijamuona Kama Yeye
Na Ata Ukizunguka Uwezi Mpataa Kama Yeye
Jamani Nimezunguka Sijamuona Kama Yeye
Na Ata Ukizunguka Uwezi Mpata Kama Yeye
Mi Nina Wivu Ooh Wivu
My Baby Nina Wivu Ooh Wivu
Kusema Kweli Mi Nina Wivu Ooh Wivu
Ooh Baby Mi Nina Wivu Ooh Wivu
Kusema Kweli Mi Nina Wivu Ooh Wivu
Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
 

 
  Platform Tz   Writed by Admin  60x     2023-09-04 09:13:07

post a comment