Lirik Lagu Mungu Pekee Nyashinski
Sijui Kaa Nitaona Kesho
Kaa Ningali Na Uwezo Wa Kuifanya
Nitaifanya Hadi MwishoMwambieni Huyo Devil
Simwogopi Shetani Sir God Yuko Nami Hadi Kifo
Kaa Nitaona Kesho Nipe Nguvu Na Uwezo Wa Kijana
Na Akili Za Mzee
Daima Niwe, Imara Wasiniangushe(Cedo)
Naona Saa Kila Siku Ni Zawadi Toka Maulana
So Haja Gani Ushike Tama Maa
Majaribu Huisha Oh Ya Eeeh
Na Ata Kaa Maadui Zangu Watashikana
Na Zao Njama Siwaogopi
Nasimama Mama, Ya Kiama Yao Yaja Eeh
Hiyo Ndio Pace Nasonga Nayo
Wanashangaa Hakuna Stress, Nakuanga Nayo
Naishi Sawa Sina Kesi Mahakamani Au Deni Za Majirani
Niko Fresh Nje Na Ndani Oh Yah Eeh
Namwogopa Mungu Pekee
Mwanadamu Akija Kunitafash, Naomba Mungu Nitetee
Maneno Yao Yasiniumize Nifanye Sugu Wewe
Wakitry Kunitisha Naomba Nisitetemeke
I Know You Love Me, Know You Love Me Eeh
So I Don′t Fear Nobody But You
I Know You Love Me, Know You Love Me Eeh (nisitetemeke)

So I Don't Fear Nobody But You

Uhh Siamini Jo Juu Vile Naishi Life Ni Ngumu Kuamini Hii Si Ndoto
Sijui Vile Kesho Itakaa Kwa Hivyo
Leo Nitaifanya Kaa Kidogo Huwa Hairidhishi Roho
Yaani Sana, Tena Sana
Ata Wale Wananichukia Wananiheshimu, Bruh Mi Si Kidogo
Uhh Sibabaiki Nikisikia Mkiongea Nazidi Kuwapa Mi Kisogo
Na Kama Saa Sisimami, Sitaki Life Iniache Majani Mataani
Mwenyezi Nichungie Familia Yangu Na
Pia Za Wale Wote Sauti Yangu Wanaisikia
Tupe Afya Nzuri Na Maisha Matamu
Barabara Zetu Zinyooke Waone Mfalme Ni Wewe
Wa Kupewa Shangwe Ni Wewe
Wa Kupewa Shangwe Ni Wewe
Namwogopa, Mungu Pekee
Mwanadamu Akija Kunitafash, Naomba Mungu N′tetee

I Pray We, Me And My People We Never Die
Say We Live Forever And Forever We Multiply
And Wherever We Go, Ni Nini Wanaweza Nishow
Hata Ka Sina Kitu, Uko Na Mimi Kila Siku
Kila Siku Wewe Pekee

Nyashinski
Writed by Admin
6x
2024-12-23 11:44:55
post a comment