Lirik Lagu Muite Yesu Mercy Masika

Ah Ah Eh
Oh Ow Oh Ow Oh
(StillAlive)
"Hello, Hello, Habari Yako?"
"Niko Poa Sana Mimi, Na Bado Niko"
Tunijibu "Ni Poa" Tukisalimiwa
Na Ndani Wengi Wetu Tunaumia
Picha Mtandaoni, Maisha Bandia
Kwake Mungu Hakuna Kimejificha

Uko Salama, Kwake Pekee Yake
Mikononi Mwake, Usinyamaze, Muite
Uko Salama, Kwake Pekee Yake
Mikononi Mwake, Usinyamaze, Muite

Muite Baba Leo (muite)
Muite Baba Leo (muite)
Muite, Usinyamaze (usinyamaze)
Muite Baba Leo (muite)
Akupenda Wewe (muite)
Akusikia Leo (muite)
Usinyamaze, Muite
Ah Ah Ah Ah Ah

Simama, Shika We, Shika Neno
Ita Na, Yesu Atasikia
Mpe Zote, Shida Zako, Fikira
Aibu Yote, Yeye Atatua

Uko Salama, Kwake Pekee Yake
Mikononi Mwake, Usinyamaze, Muite
Uko Salama, Kwake Pekee Yake
Mikononi Mwake, Usinyamaze, Muite

Muite (wachana Na Stress)
Muite (usijinyonge Wewe)
Muite, Usinyamaze Muite (kwa Shida Zako We)
Muite (aibu Zako We)
Muite (muite, We)
Usinyamaze, Muite

Uko Salama, Kwake Pekee Yake
Mikononi Mwake, Usinyamaze, Muite

Muite (itana We)
Muite (Ita Yesu We)
Muite, Usinyamaze, Muite
Atatua Leo (muite)
Shida Zako Leo (muite)
Muite, Usinyamaze Mjite
Hasira Zako, We (muite)
Depression, Shindwa (muite)
Cancer Ondoka! (Muite)
Muite, Usinyamaze, Muite
Familia Yako (muite)
Katika Jina La Yesu (muite)
Oh, Muite, Usinyamaze Muite
 

 
  Mercy Masika   Writed by Admin  1x     2024-12-23 11:45:06

post a comment