Lirik Lagu Mi Amor Marioo

Mi Amor
Te Amo
Ohh Baby Mon AmorHakuna Mwingine Wa Kumsikia
Kwenye Masikio Yangu
Hakuna Mwingine Wakumuona
Kwenye Macho Yangu

Nibebe Nibebe
Honey Nishushe Mahabani
Aaah
Nigege Nigege
Mie Kwako Taabani
Heeeeeee Mi Amor
Mmmmh
Nikuite Jina Gani Baby Honey
Mmh
Mon Amor
Eeeeh
Mi Amor
Mmmh
Nikuite Jina Gani Mahabuba Lazizi
Mon Amor
Ohh Mon Amor

Kimamba On The Beats
Mmmh
Yeeeah
Heeey Yeeeah
Baby Heeey
Moyoni Ulivyo Ni Kaa Never Seen Before
Unavyo Nipa Never Seen Before
Wengine Wa Nini
Hooo La La La La La Laa
Never Seen Before
Tuwe Wote Mpaka Kifo
Madunga Embe Wa Nini
Hoo La La La La La La Laa
Kwenye Joto Nipepee
Kwa Baridi Nikumbate
Kwenye Mvua Nikinge
Uwe Mwamvuli

Nibebe Nibebe Honey
Nishushe Mahabani
Nigege Nigege
Mi Kwako Taabani
Eeeeeeeeh
Mi Amor
Nikuite Jina Gani Baby Honey
Mmh
Mon Amor
Eeeeeh
Mi Amor
Nikuite Jina Gani Mahabuba Lazizi
Mon Amor
Oooh Mon Amor
 

 
  Marioo   Writed by Admin  8x     2024-12-23 11:53:19

post a comment