Lirik Lagu Kwetu Kidum Kibido

Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
Vile Ninavyoona
Vile Ninavyohisi
Sikai Kama MtuAnaficha Hisia
Huwezi Kuficha Moto Moshi Ikitokea
Ukificha Mapenzi Wee Unaumia Ndani Ndani
Nashindwa Kuelewa
Hii Ni Mwenendo Gani
Taratibu Ni Vema Lakini Isiwe Kunirusha Inje
Wacha Nikupende Mpenzi
Wacha Nikuhisi Ndani Ndani
Nishike Mkononi Twende Mbali
Kwetu (ingawa Mbali)
Kwetu (huko Ni Nyumbani)
Kwetu, Ntakubeba Kwetu

Taratibu Ni Vema
Lakini Kusiwe Mwengine
Nielezee Kwa Nini Wee Una Hofu Na Mimi
Nakupenda
I Love You
Je T′aime
Hakika
Tazama
Uso Wangu
Nimekumbwa
Na Mzozo Wa Kiumapenzi
Natangaza Wazi
Hadharani
Nakupenda Sana Niko Na Wewe Kufa Na Kupona
Wacha Nikupende Mpenzi
Wacha Nikuhisi Ndani Ndani
Nishike Mkononi Twende Mbali
Kwetu (ingawa Mbali)
Kwetu (huko Ni Nyumbani)
Kwetu, Ntakubeba Kwetu

Wacha Nikupende Mpenzi
Wacha Nikuhisi Ndani Ndani
Nishike Mkononi Twende Mbali
Kwetu (ingawa Mbali)
Kwetu (huko Ni Nyumbani)
Kwetu, Ntakubeba Kwetu

Natangaza Wazi
Hadharani
Nakupenda Sana Niko Na Wewe Kufa Na Kupona
Wacha Nikupende Mpenzi
Wacha Nikuhisi Ndani Ndani
Nishike Mkononi Twende Mbali
Kwetu (ingawa Mbali)
Kwetu (huko Ni Nyumbani)
Kwetu, Ntakubeba Kwetu

Wacha Nikupende Mpenzi
Wacha Nikuhisi Ndani Ndani
Nishike Mkononi Twende Mbali
Kwetu (ingawa Mbali)
Kwetu (huko Ni Nyumbani)
Kwetu, Ntakubeba Kwetu
Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
 

 
  Kidum Kibido   Writed by Admin  56x     2023-09-04 09:13:07

post a comment