Lirik Lagu Wote Harmonize

Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
Oh Oh Oh Oh Oh Oh
B Boy
Mwenzako Zikianza Story Za Mapenzi
Mfano Wakwanza Ni Wewe
Hadi Marafiki Zangu Wananicheka
Naukumbuka Ushenzi Tulofanyaga
Mi Nawe Mwenzako Mi Nakuonea Vibwenga
Hata Wakisema Maneno
Ni Bure Maana Nyani Halionagi Kundule
Wanachotaka Tuachane Uzurure Watucheke Kikowapi

Ujana Una Mengi Na Mengine Na Mi Nimefanya
Siwez Danganya Nishamaliza
Kila Niliempaga Moyo Autunze
Basi Aliugawanya Ona Nilihanya Ikaniumiza
We Unanijali Unanivumilia

I Wish Tuzeeke Wote
I Wish Tuzikwe Wote Mmoja Akifa Kesho
Yeah Mule Kuhan
Unanipenda
I Wish Tuzeeke Wote
I Wish Tuzikwe Wote Mmoja Akifa Kesho

Mapenzi Sa Ukiondoka Nitabaki Na Nani
Mapenzi Ukibaki Nitaondoka Na Nani
Siwezi Peke Yangu

Yeah
Mama Ukiongeza Nitajinenepea
Unavyo Nigombeza Nakuona Una Care
Eti Hatujapendeza Wanatufokea Mi
I Don′t Care Ndo Nishakolea
Kipofu Nishaona Mwezi Vurugu Vurugu Siwezi
Leo Sinza Kesho Kinyerezi Mara Mbezi

Ujana Una Mengi Na Mengine Na Mi Nimefanya
Siwez Danganya Nishamaliza
Kila Niliempaga Moyo Autunze
Basi Aliugawanya Ona Nilihanya Ikaniumiza
We Unanijali Unanivumilia

I Wish Tuzeeke Wote
I Wish Tuzikwe Wote Mmoja Akifa Kesho
Yeah Mule Kuhan
Unanipenda
I Wish Tuzeeke Wote
I Wish Tuzikwe Wote Mmoja Akifa Kesho
I Wish I Wish
I Wish I Wish

Mapenzi Sa Ukiondoka Nitabaki Na Nani
Mapenzi Ukibaki Nitaondoka Na Nani
Siwezi Peke Yangu
Download aplikasi lirik lagu terlengkap Disini (Android)
 

 
  Harmonize   Writed by Admin  68x     2023-09-04 09:13:07

post a comment