Lirik Lagu Donjo Femi One
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa CyberChukua Mmoja Kwa Cyber
(Kaka Empire Is The Lifestyle)
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber (RiccoBeatz Mr 808)
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Pamba Inabambaga Kamfuko Kakiwa Na Doh
Jaba Inakamata Madoba Zikiwa Kwa Form
Hepi Inabambaga Manoma Zikiwa Kwa Floor
Reggea Inakamata Warazi Wakiwa Mandom
Weka "Dont Disturb" Kwa Mlango
Mbili Mbili Ya Wawili Wawili Kwa Tango
Side Yangu Ya Left Watu Wako Right Angle
Mateso Ni Ya Beberu, Mateso Ni Ya Mama Kambo
Give Them Tukisepa Ju Mabanga Wako Area
Curfew Inakatsia Sherehe Na Mamorio
Kesho Ni Wikendi Tunashikisha Kisheria
Kila Mtu Pewa Pombe Ka Chanjo Ya Polio
Na Iende Sana (Eeh)
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
Shilalalala Bomb Bomb Shile
Pedi Analala Sana Mbona Anadelay
Kwani Hajui Femi Niko Na Form Today
Nimepull Up Na Mbogi Za Kasa Na Za Kile
Lakini Mbogi Moja Itarudi Home Na Mkia
Mbogi Ingine Itarudi Na Stori Za Kuskia
Kwani Jana Kuliendaje Mi Siwezi Kuambia
Mi Nikicarry Mizinga Si Watu Hukaribia
Ni Sherehe Tunakula Ka Huna Doh Kula Vako
Rotejo Mi Hungojaga Nganya Noma Kwa Sacco
Before Nifike Mwiki Mi Hushika Manjiva Sunton
Niko Milan Nimepiga Ka Manzi Wa Uptown
Na Iende Sana (Eeh)
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
(ABH SOUND Baby)
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa CyberChukua Mmoja Kwa Cyber
(Kaka Empire Is The Lifestyle)
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber (RiccoBeatz Mr 808)
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Pamba Inabambaga Kamfuko Kakiwa Na Doh
Jaba Inakamata Madoba Zikiwa Kwa Form
Hepi Inabambaga Manoma Zikiwa Kwa Floor
Reggea Inakamata Warazi Wakiwa Mandom
Weka "Dont Disturb" Kwa Mlango
Mbili Mbili Ya Wawili Wawili Kwa Tango
Side Yangu Ya Left Watu Wako Right Angle
Mateso Ni Ya Beberu, Mateso Ni Ya Mama Kambo
Give Them Tukisepa Ju Mabanga Wako Area
Curfew Inakatsia Sherehe Na Mamorio
Kesho Ni Wikendi Tunashikisha Kisheria
Kila Mtu Pewa Pombe Ka Chanjo Ya Polio
Na Iende Sana (Eeh)
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
Shilalalala Bomb Bomb Shile
Pedi Analala Sana Mbona Anadelay
Kwani Hajui Femi Niko Na Form Today
Nimepull Up Na Mbogi Za Kasa Na Za Kile
Lakini Mbogi Moja Itarudi Home Na Mkia
Mbogi Ingine Itarudi Na Stori Za Kuskia
Kwani Jana Kuliendaje Mi Siwezi Kuambia
Mi Nikicarry Mizinga Si Watu Hukaribia
Ni Sherehe Tunakula Ka Huna Doh Kula Vako
Rotejo Mi Hungojaga Nganya Noma Kwa Sacco
Before Nifike Mwiki Mi Hushika Manjiva Sunton
Niko Milan Nimepiga Ka Manzi Wa Uptown
Na Iende Sana (Eeh)
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Kama Huna Form Chukua Mmoja Kwa Cyber
Chukua Mmoja Kwa Cyber
Donjo Sherehe Inadonjo
Donjo, We Huoni Vile Sherehe Inadonjo
(ABH SOUND Baby)
post a comment