Lirik Lagu Avoid Those People Wakadinali

Track "Wakadinali"

On Bandsintown

(Ayo Chino You Again?)

Avoid Those People
Wenye Hawakusaidii Hawawezi Kukujenga
Avoid Those People

Juzi Nilipull Na Morio Hadi Sanse Wakahepa

Avoid Those People, Avoid Them
Cold Nairobi Still Narowesa
Avoid Those People
Life Ni Bure Survival Ni Lazima

Avoid Those People
Wenye Hawakusaidii Hawawezi Kukujenga
Avoid Those People
Juzi Nilipull Na Morio Hadi Sanse Wakahepa

Avoid Those People, Avoid Them
Cold Nairobi Still Narowesa
Avoid Those People
Life Ni Bure Survival Ni Lazima

Kuna Msee Aliuza Pena Ju Alipura
Tunauza Nyama Ya Paka Kwa Mtura
Naziuza Mimi Na Bena Bado Tunapurura
Ati Niaje Dosh Anaroll Na Manzi Na Ni Chura?
Niaje Na Ni Dosh Tungempiga Picha But Alificha Sura
Ndani Ya Pothole Nilifall Na Ni Juu Ya Chingri
We Uko Wapi Na Niko Deng′a Na Si Dikwara
Fuck It, Fuck It Nilifall In Love Na Nigri
Usiwai Toka Mbesh Chege Hio Ni Swara

Avoid Those People Nilijam Sanse Akahepa
Avoid Those People Adam Ningekuwa Matheri But Hangependa
Avoid Those People Am Cold In Nairobi Still Narowesa
Avoid Those People Kuna Matha Ninge-- Kibeti But Angeniita Thegi

Ulikuwa Unasema Nini Brathe, Tumemuoket Kukublaze Blaze
Tuna Sweeti Tumerunda Na Bae, Peremende Zitakurunda Ree
Sa Hizo Ka Niko Macho Nyanya, Alitry Kunishika Time Ya Obama
Jump On Them Huko Burma Walifanya Wanakula Nyama

Naibia Paul Kulipa Pita Kuwashow Vile Kamare Imeshika
Hao Ni Wa Kuland Walipotea Tangu Zile Enzi Za Greencard
Riomo Ni Deadman Na Anatembea Kotko Aligongewa
Last Mile But Execution Huh, Aliponea

Drunked Master Ki Mungas Way, Modafucker From Yesterday

Badder Si Lazima Dreads Mi Huchapa Mpaka Ananiita Bae
Anadai Ye Hunionanga Baze Hajaijua Mi Ni Mnyama Bed
Si Hutoka Siaka Mzee Wakule Vumbi Si Hatufiki Bei

Quality Haishuki Infact Usikuje Na Ideas Ka Hautoi Tukis
Drillting Kuna Sisi Wazee Alafu Kuna Hao Marookies
Yoh Doobie Si Watutupi Kiasi Kuna Ukame Si Huwa Hatushtuki
Jiji Nyuma Ya Hizo Buildings Dad Amekuona Akapata Shughli

Mode Alishikwa Kamoket Hadi Backbench Kunusa Vidole
Si Huwasha Maforeign Every Morning Tukiendaga Colle

Nikiwa Madrugs Mi Hukeep It Simple
Huwezi Pata Verse Ka Haujalipa Depo
Pirate Tulimtoka IPhone Tukamwacha Zero Bila Hata Earphones

Avoid Those People
Wenye Hawakusaidii Hawawezi Kukujenga
Avoid Those People
Juzi Nilipull Na Morio Hadi Sanse Wakahepa

Avoid Those People, Avoid Them
Cold Nairobi Still Narowesa
Avoid Those People
Life Ni Bure Survival Ni Lazima

Avoid Those People
Wenye Hawakusaidii Hawawezi Kukujenga
Avoid Those People

Juzi Nilipull Na Morio Hadi Sanse Wakahepa

Avoid Those People, Avoid Them
Cold Nairobi Still Narowesa
Avoid Those People
Life Ni Bure Survival Ni Lazima

Ushaibiwa Na Lighskin Ukapata Extra Pressure
Ju Rende Ni Ronger
Mrazi Aliingia Box Nimpone Hio Mali Na Vile Nimekonda
Mtaani Ni Genje Coplo Na Geri Wana Different Slogan
Slim Alibambwa Na Bail Ilitoka Na Boy Akatoka
Tuesday Morning Nishawasha Kishada Prr Ndio Munga Anapiga
Ashaniingisha Orosho Bag Ni Thao

Saf Wanashindwa Mbona Sijafuliza

Mi Na Mastar Ni Hotbox
Msela Alidhani Ni Maybach Kumbe Ni Probox
Tunatingisha Barley Na Chrome KiHunters
Si Unajua Hii Ni Formal

Rende Niliskia Kuna Msee Anatisha Mmh
Ju Wakati Imempita
Lakini Naskia Masocialites Mboka Ikiisha
Survival Ni Lazima

Nilikula Mali Ya Njoro
Ju Njoro Alipiga Makali Akazima
Nilimpiga Kiswahili Ya Mtaa
Mbro Ya Mmeru Na Sauti Ya Alikiba
Bouti Ni Preacher God Akibonga Unajua Utaskiza
Rende Ni Ronger Bouti Ni AD Familia Trap Imefika

Bouti Ni Preacher God Akibonga Unajua Utaskiza
Rende Ni Ronger Bouti Ni AD Familia Trap Imefika

Eeh Kwa Majina Ni Papa Fathela
Warazi Hushtuka Niaje Nilipenya
Nikikafunga Leo Nasepa
Ambia Hao Wasoro I'm Going Till December

Mi Ni Miracle Baby
Nasema Mokoro Wa Mi Alishika Mimba Kwa Kesha
Kuna Msee Alijifanya Seller
Tukashika Stock Yote Akatinga The Wera

Kuna Shugli Haitakangi Mbogi
Bado Kifo Haibishagi Hodi
Nilichokanga Na Window Shopping
Siku Hizi Wanalipa Niwavalie Clothing

Ni Kapyenga Kananichoma Lips
Huwezi Roll Na Sisi Ju Ulitrip
We Si Gwangi Buda We Ni Bitch
Compe Ni Compe Na Compe Ni Stiff

Ah Breakfast In Bed Na Niko Na Sidechic
Raboni Na Stiwi Inacarry
Henny Nacop Juu Wikendi Ni Shwari
Shati Versace Na Imepigwa Pasi

Tangu Enzi Za Daycare
Nilikuwa Natoka Hawa Watoi Mabano
Walishindwa Kunihandle Ka Sufuria Moto
You Know The Boy Be Sturborn

Avoid Mafala Wamejaa
Ujinga Ni Ugonjwa Wa Kupona Ni Struggle
Nikipullup Lazima Utanotice
Mi Huonekana Kama Atwoli In Purple
Na Hii Dunia Ina Mambo
Nikisota Nakinda Kid Ni Ng′ambo
Niko Na TK Bado Top 3 Kama Jezi Ya Carlos

Mi Huroll Incognito, Jicho Nyanya Mfuko Nzito
Madigaga Ah Za Mbao Ju Mi Huwa Na Avoid Some People
Unafaa Kujichunga Wadingo Na Ma Cargo Huwanga Za Imbo
Makarao Watapiga Na Pingu Na Do Biz Na Machinku

Nairoberry Kudiambo Kwa Traffic Tinga Mawindow
Kula Rada Tafuna Ritho Ama Utameza Marive
Promoter Junkie Mwenye Show Make Sure Amkudunga Ka Depo
Ati Concert Bila Malipo Ah Ah Na Avoid Hio Risto

Unafaa Ku Aoid Those People Watakuwekea Mchele Kwa Disco
Watakuingia Mbosho Ukishachemsha Unafungwa Chipo
Yule Boy Huwa Snitch Naskia Ye Ndo Hunyoa Info
Anajuana Na Mafivo Ndio Maana Ye Hutembeaga Na Pistol

Woh Oh Leo Sitaki Matembo Niko Maji Kushinda Migingo
Itabidi Nianze Kudetox Yaani Kupunguza Stingo
Waba Imenifika Shingo Ndio Kwa Maana Niko Indoors
Natembea Mtaa Nikitiptoe, Sshh Na Avoid Those People

Avoid Those People
Wenye Hawakusaidii Hawawezi Kukujenga
Avoid Those People
Juzi Nilipull Na Morio Hadi Sanse Wakahepa

Avoid Those People, Avoid Them
Cold Nairobi Still Narowesa
Avoid Those People
Life Ni Bure Survival Ni Lazima

Avoid Those People
Wenye Hawakusaidii Hawawezi Kukujenga
Avoid Those People
Juzi Nilipull Na Morio Hadi Sanse Wakahepa

Avoid Those People, Avoid Them
Cold Nairobi Still Narowesa
Avoid Those People
Life Ni Bure Survival Ni Lazima

Avoid Those People Vijana Ka Sisi
-- Hutuavoid
Unachachisha Na Mamwiko
Maseska Vidungi Ziko Kinena Udj Hapa Hakuna Toy
Wikendi Toja Na Olipo
Ketepa Na Njugu Saa Zile Hakuna Vurugu Ni Kujienjoy

Sinaga Maneno Na People
Elisha Elai Toka Kitambo
Ndio Maanake I'm A Simple Boy
Hizo Vitisho Zenyu Mi Siingizi
Niko 20 Na Unaninyima Usingizi
Ni 4:20 Kila Siku Huku Withii
Bila Senti Huku Haupiti Zii

Hapa Ukicheza Dondi Pupupu
Nikipita Wanageuka Bubu
Ju Mada Hapa Ni Kama Elani Kukuku

Way Before Kina Gidi Already I Was Unbwogable
Itabidi Mpunguze Bonga Mob
Ju Mistari Zenyu Ziko Terrible
Here We Go Extra Pressure Inazidi Ju Rende Rong
Iko Jiji Inatesa Tu Kila Zone
Hii Riziki Ya Mziki Itakuja Call
Tunasaka Money Mpaka Senegal

Ka Ni Hater Ni Better Uniavoid
Ju Ni Ngeta Utakulwa Ukipatwa Boy
Wanateta Tangu Nianze Leta Voice
Ju Nageuza Marapper Wakae Watoi
Nakuja Kijeshi, Nikiroga Wanadhani Vigetti
Tunasonga Hakuna Kusleki
Mi Ndio Thegi Anasakwa Dando Na Hessy

This Time I Tripple
Mi Hufanya Ukuwe Cripple Ka Doggy Nakuita Na Whistle
Avoid Those People Deng'a Ndio Whip
At People Infact Venye Mi Huleta Vitisho
Ndani Ya Nganya Mi Hukuja Kuwahanya
Mistari Niliandika Kama Nimetoka Hangdown

Venye Rende Ni Rong Mi Hukam Kuwashanda
Most Definately After This Ni Matanga
Routes Ni Za Panya Hakuna Choche Utanikosa
Salute Ju Namute Hao Madem Ju Ya Mboka

Mi Hutaka Hio Doh Ka Omollo Nai Conquer
Si Acceptigi Loss Main Goal Ni Kuomoka
Tangu Lini Uskie Queen Ana-argue Na Mboch
Of Course Mi Ni Boss Nakanyaga Ka Roach

Niliruka Kwa Mbaru Nikadara Huyo Popo
Nikamuacha Akicheza Na Lotion
Mbleina Kwa Sisi Tunachomanga Picha
Ka Santa Natokaga Usiku Saa Sita

Usiku Na Lila Ile Ikilala Italika
Last Victim Kwa Crime Nilimwacha Akiwika
Ka Mtoi Kwa Crip Nilikeeper
Hadi Mchombez Nilimuacha Akijipa
Nikamshow After This Ni Kulipa

Underdog Mi Nawasmoke Ka Fog
Ka Bulldog Nawamaster Ka Log
We Ni Alog Nakuombea Kwa Synagogue
Then Nakuweka Kwa Dustbin Kuflog

We Ni Monologue, Ningedai Alone
Siwezi Share Throne Mi Ni Ka Hog
Ka Lapdog Nawatuma Kwa Choo
Then Natokea Kwa Scene Ka Snog

Man Fck Those People Mi Ukinicheki Avoid Me
Nikiwaga Riko Na Kibro Ni Kifo
Lakini Alidedi I′ll Join Him
Nina Kilo Kwa Tiplo
Na Ng′ango Hatusleki We Boiling

Mlishindaga Tiktok Cheap Talk
Na Kila Time Tukikutana Hambongi
Rong Rende Ni Vitimbi
Hater Alionanga Majogi

Huyu Anakuwanga Ni Pimbi
Kwanza, Kwanza Nilimpora Na Dogi
Kile Hunirudisha Jiji
Ni Kukula Nyama Choma Nairobi

Mi Nilipataga Bibi Kijana Bado Nakuona Na Mbogi
Baba Unabonga Na Mabudeng' Hapa Lazma Banga Atakuja Na Mabunde
Bangaiz Na Bangi Ju Hanaku Rieng
Jaba Ikuwe Inadi Na Andasu Kuberr
Hii Ni Wazea Na Mabudeng
Wakiuliza Ni Jea Najibu Maberr
Natoka Wera Narudi Kwa Wera
Ni Nini Masela Mnataka Niwapee

Hatuwezi Fanana Just Look At Us
Huyo Mama Ananiramba Na Ananuka Jasho
Chini Ya Maji Undercover Nikivuta Gas
Na Sisi Hatujatupa Rada Ni Kukula Vako

We Piga Pang′ang'a Tunakuja Kwako
Kesho Utanipata Nimedunga Chuja Zako
We Si Gangsta Ati Ju Umefuga Ras
Na Nikifika Lawama Si Wanajua Ni Narcos
 

 
  Wakadinali   Writed by Admin  7x     2024-12-23 12:05:05

post a comment