Lirik Lagu Ananijali The Twakutukuza Choir

Nimeomba, Tena Sio Mara Moja
Kwa Roho Na Kwa Kweli
Bali Sijapata, Majibu Yangu Kuyaona
Adui Shetani Mwongo
Asema Ya Kwamba Mwenyezi Mungu
Yeye Hanijali Bali
Siwezi, Sitomkubali
Ninayo Hakikisho, Ya Kweli Ninajua
Ananijali, Ananijali
Sitokubali Kuzama Kwenye Maji
Ananipenda Yeye Ni Mwema
Aaah...
Ni Za Dunia Zangu Hizi Shida Hazitanizuia
Kukutumikia
Tafuata Mimi Hiyo Njia
Ya Kweli Na Uzima Kwani
Ulisema Yote Yamekwisha
Sitababishwa, Ninajua Yatapita Kwani
Baada Ya Usiku Giza
Ninayo Hakikisho Asubuhi Itafika
Ananijali, Ananijali
Sitokubali Kuzama Kwenye Maji
Ananipenda Yeye Ni Mwema
Aaah...
Adui Shetani Mwongo
Asema Ya Kwamba Mwenyezi Mungu
Yeye Hanijali Bali
Ulisema Yote Yamekwisha
Sitababishwa, Ninajua Yatapita
Ananijali, Ananijali
Sitokubali Kuzama Kwenye Maji
Ananipenda Yeye Ni Mwema
Aaah...
Ananijali, Ananijali
Sitokubali Kuzama Kwenye Maji
Ananipenda Yeye Ni Mwema
Ni Mwema Aaaah...
Ananijali
Ooh.ni Mwema
Yeye Ni Mwema
Oh, Bwana Ni Mwema
Yeye Ni Mwema
Ninaamini
Yeye Ni Mwema
Usiku Na Mchana Anijali
Usiku Na Mchana
Yeye Ni Mwema
Yeye Ni Mwema
Yeye Ni Mwema
Mimi Kwangu Ni Mwema
Yesu Ni Mwema
Yeye Ni Mwema
Yeye Ni Mwema
Yeye Ni Mwema
 

 
  The Twakutukuza Choir   Writed by Admin  1x     2024-12-23 11:47:41

post a comment