Lirik Lagu Amenisamehe Emachichi

Amenisamehe (amenisamehe) ×2
Katika Jina Lake Yesu, Amenisamehe ×2
Amenibariki, Amenibariki
Amenibariki Jamani, Amenibariki
Katika Jina Lake Yesu, Amenibariki ×2
Ameniokoa, Ameniokoa ×2
Katika Jina Lake Yesu, Ameniokoa ×2
Amenifariji, Amenifariji
Amenifariji Jamani, Amenifariji
Katika Jina Lake Yesu, Amenifariji ×2
Anipa Amani, Anipa Amani ×2
Katika Jina Lake Yesu, Anipa Amani ×2
Anipa Furaha, Anipa Furaha
Anipa Furaha Jamani, Anipa Furaha
Katika Jina Lake Yesu, Anipa Furaha ×2
Anipa Upendo, Anipa Upendo
Anipa Upendo Jamani, Anipa Upendo
Katika Jina Lake Yesu, Anipa Upendo ×2
Amenisamehe, Amenisamehe
Amenisamehe Jamani, Amenisamehe
Katika Jina Lake Yesu, Amenisamehe ×2
Instrument
Nzambe Nabiso Aza Malamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bolamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bokasi Iyeéye
Nzambe Nabiso Aza Malamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bokasi Iyeéye
Sanzola Ye, Yembela Yeéye
Sanzola Ye, Tikisa Yeé
Sanzola Ye, Nzambe Nabiso Aza Bokasi Iyeeye
Instrument
Nimkimbiliye Nani Eee
Nimkimbiliye Yesu Mwokozi Wangu Repeat
Wakati Wa Machozi Wakati Wa Shida
Nta Mkimbiliya Mwokozi Wangu
Nimkimbiliye Nani Eee
Nimkimbiliye Yesu Mwokozi Wangu
Wakati Marafiki Wata Nitoroka
Nta Mkimbiliya Yesu Mwokozi Wangu
Uchumi Wa Dunia Uki Zoroka
Nta Mkimbiliya Yesu Mwokozi Wangu
Wakati Wa Shida, Wakati Wa Machozi
Yesu Ndiye Kimbiliyo
Instrument
Nzambe Nabiso Aza Malamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bolamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bokasi Iyeéye
Nzambe Nabiso Aza Malamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bokasi Iyeéye
Sanzola Ye, Yembela Yeéye
Instrument
Ni Njiya Ya Uzima Eeh Eeh
Ni Njiya Ya Uzima Ya Kwenda Kwa Baba ×2
Mushara Wa Zhambi Ni Mauti Yesu Ndiye Njiya Yakwenda Kwa Baba

Nzambe Nabiso Aza Malamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bolamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bokasi Iyeéye
Nzambe Nabiso Aza Malamu Iyeeye
Nzambe Nabiso Aza Bokasi Iyeéye
Sanzola Ye, Yembela Yeéye
Instrument
Yesu Ana Ponya(yesu Ana Ponya)×2
Yesu Ni Yule Yule Jana Leo Na Milele
Yesu Afariji (Yesu Afariji)×2
Yesu Ni Yule Yule Jana Leo Na Milele
Yesu A Okoa(Yesu A Okoa)×2
Yesu Ni Yule Yule Jana Leo Na Milele
Yesu Ana Ponya(yesu Ana Ponya)×2
Yesu Ni Yule Yule Jana Leo Na Milele
Yesu A Bariki(Yesu A Bariki)×2
Yesu Ni Yule Yule Jana Leo Na Milele×2
Instrument
Yesu Atu Penda(Yesu Atu Penda)×2
Yesu Ni Yule Yule Jana Leo Na Milele×2
Yesu Ana Tunza(Yesu Ana Tunza)×2
Yesu Ni Yule Yule Jana Leo Na Milele×2
Yeye Ana Ponya (Yeye Ana Ponya)×2
Yesu Ana Ponya (Yesu Ana Ponya)×2
Yesu Ni Yule Yule Jana Leo Na Milele×2
Instrument
Instrument...
 

 
  Emachichi   Writed by Admin  0x     2024-12-23 12:15:48

post a comment